Searching...
Ijumaa, 30 Agosti 2013

RAIS WA ZANZIBAR AENDELEA NA ZIARA YAKE NCHINI UHOLANZI,LEO AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA UHOLANZI MARK RUTTE

IMG_3005 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Serikali ya  Uholanzi Mark  Rutte,alipofika katika Ofisi ya Waziri huyo Nchini The Hague Uholanzi akiwa katika ziara na Ujumbe aliofuatana  nao. IMG_3016 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Serikali ya Uholanzi Mark  Rutte,alipofika katika Ofisi ya Waziri huyo Nchini The Hague Uholanzi akiwa katika ziara na Ujumbe aliofuatana  nao,(kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban. IMG_3022 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na Mwenyeji wake  Waziri Mkuu wa Serikali ya  Uholanzi Mark  Rutte,baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika  Ofisi ya Waziri huyo Nchini The Hague Uholanzi akiwa katika ziara ya Kiserikali na Ujumbe aliofuatana  nao. IMG_3034 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais na Meneja Mkuu wa kampuni ya Sakura Finetek Europe,wakati alipotembelea katika Ofisi ya Kampuni hiyo jana,ambayo inatengeneza Vifaa vya maabara vya Uchunguzi wa Binadamu,nje ya Mji wa The Hague Nchini Uholanzi akiwa katika ziara ya Kiserikali. IMG_3054 Bibi Regine Aalders,kutoka Wizara  ya Afya nchini Uholanzi,alipokuwa akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa kampuni ya Sekura na Makampuni mengine wakati walipokutana na Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar nchini humo kwa ziara ya Kiserikali ambapo ziara hiyo itamalizika kesho. IMG_3079 Baadhi mya Viongozi wa Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wenyeji wao Viongozi wa kampuni ya Sakura Finetek Europe,inayojishuhulisha na Utengenezaji wa  Vifaa vya maabara vya Uchunguzi wa Binadamu,iliyopo nje ya Mji wa The Hague Nchini Uholanzi wakiwa mkutano wa kufikia  kuongeza kasi ya kutoa huduma bora za Kiafya katika ziara ya Kiserikali.
 IMG_3138 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mtaaalamu wa matumizi ya Vifaa vya maabara  Robert Heijmen,alipotembelea mashine mbali mbali za uchunguzi  wakati wa mkutano na Kampuni ya Sakura Finetek Europe, inayotengeneza Vifaa vya maabara vya Uchunguzi wa maradhi ya Binadamu, jana akiwa katika ziara ya kiserikali nchini uholanzi.
IMG_3087 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa mkutano na Kampuni ya Sakura Finetek Europe, inatengeneza Vifaa vya maabara vya Uchunguzi wa Binadamu,wakati alipotembelea katika Ofisi ya Kampuni hiyo jana,iliyopo   nje ya Mji wa The Hague Nchini Uholanzi,Rais akiwa katika ziara ya Kiserikali. IMG_3197 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Cheki kutoka kwa Rais,pia Meneja Mkuu wa kamapuni ya Sakura Finetek Europe, Chris Koeman,kwa ajili ya Uchunguzi wa Maradhi ya binadamu katika Hospitali ya Mnazi Mmoja,wakati wa mkutano wa ushiriano katika kukuza huduma na kampuni hiyo,na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,katika ziara Nchini Uholanzi. IMG_3202 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Kamapuni ya Sakura Finetek ,baada ya mkutano uliofanyika jana baina ya kampuni na Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ukiwa katika ziara Nchini Uholanzi. 
[ Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!