WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 26/08/2013.
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Kigoma na
Shinyanga]:
[Mkoa wa Rukwa, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mbeya, Morogoro
na Iringa]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Mwanza, Kagera
na Mara]:
[Mikoa ya Dar Es
Salaam na Pwani ]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
12:37
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:22
|
DODOMA
|
28°C
|
12:37
|
KIGOMA
|
32°C
|
01:02
|
MBEYA
|
24°C
|
12:43
|
MWANZA
|
30°C
|
12:51
|
TABORA
|
30°C
|
12:50
|
TANGA |
28°C
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
12:22
|
PEMBA
|
29°C
|
12:25
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:29
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini; kwa kasi ya km
30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa
kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa usiku wa Jumatatu: 26/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 26/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni