Searching...
Alhamisi, 29 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA ALHAMISI AGST 29


           WIZARA YA UCHUKUZI

       MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

       S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.


 UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 29/08/2013.



[Mikoa ya Dar Es Salaam,  Pwani  na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro] :

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Mara, Kagera  na Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma,  Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
      25°C               
12:37
D'SALAAM
          31°C           
12:22
DODOMA
27°C
12:37
KIGOMA           
29°C
01:02
MBEYA
22°C
12:43
MWANZA
30°C
12:51
TABORA
32°C
12:50
TANGA
29°C
12:25
ZANZIBAR
          30°C           
12:22
PEMBA
          28°C           
12:25
MOROGORO
30°C
12:29

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini – Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
       Matazamio kwa usiku wa leoAlhamisi:           29/08/2013: Mabadiliko kidogo.
 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 29/08/2013.
 Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!