 |
Mgeni rasmi meya wa jiji laMbeya Athanas Kapunga akisalimiana na wachezaji wa Mbeya city kabla ya mechi kuanza |
 |
Meya wa jiji la Mbeya akiongea na timu zote mbili |
Hatari golini
 |
Wachezaji wa timu ya Mbeya city wakishangilia ushindi baada ya ya kuitandika Ruvu shooting |
Mashabiki wa mbeya city wakishangilia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya ruvu shooting
 |
Kocha wa timu ya Ruvu shooting Charles Boniface Mkwasa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya mpira kwisha
|
 |
Kocha wa timu ya Mbeya city Mwambusi akiongea na waandishi wa habari |
0 comments:
Chapisha Maoni