LUIZ SUAREZ.
Mshambuliaji wa Liverpool Luiz Suarez amesema anaandaa waraka maalumu wa kuitaka timu hiyo imuachie aondoke klabuni hapo msimu huu na endapo wataendelea kumbania basi atinga mahakamani ili kudai haki yake kwani hayupo tayari kuendelea kuichezea klabu hiyo ya Anfield.
ARSENE WENGER.
kutokana na taarifa hizo sasa kocha wa Arsenal Arsene Wenger anakaa mkao wa kula huku akichekelea kwani inasemekana kwamba Suarez ameonyesha mapenzi ya dhati ya kukipiga na wabeba mitutu hao wa London.
0 comments:
Chapisha Maoni