Waziri
wa Ofisi ya Rais Menejmenti ya utumishi wa Umma na Mbunge wa jimbo la
Ulanga Mh Celina Kombani Akipokelewa katika moja ya banda la maonyesho
ya nanenane mkoani morogoro.Waziri huyo leo ametembelea mabanda tofauti
kujionea shuguli za wakulima katika mabanda tofauti mjini morogoro leo
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi akiwa ameambatana na waziri katika maonyesho hayo leo mjini morogoro
MWAIBALE BLOG
0 comments:
Chapisha Maoni