Searching...
Jumamosi, 3 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAPILI AGST 04 UKIWA NA TAHADHARI



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 04/08/2013.
[Mikoa ya Pwani,Tanga na Dar es salaam]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro na Mbeya]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu mvua nyepesi katika baadhi ya maeneo  na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na Mara ]: 

Hali ya mawingu kiasi ,mvua na  ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Rukwa, Iringa  na Ruvuma]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
ANGALIZO: UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2           YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YOTE YA PWANI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
        21°C               
12:38
D'SALAAM
           30°C           
12:21
DODOMA
26°C
12:37
KIGOMA           
30°C
01:02
MBEYA
20°C
12:42
MWANZA
28°C
12:53
TABORA
29°C
12:50
TANGA
26°C
12:25
ZANZIBAR
          26°C            
12:21
PEMBA
          27°C           
12:25
MOROGORO
          27°C           
12:28
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka Kusini -Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa Kiasi hadi Makubwa.
Matazamio kwa usiku wa Jumapili: 04/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 04/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!