Searching...
Alhamisi, 29 Agosti 2013

MHUBIRI WA KIMATAIFA DK.MOSES KULOLA AFARIKI DUNIA


DK.MOSES KULOLA.


Muhubiri wa Kimataifa ambaye pia ndiye Muwakilishi wa Kanisa la EAGT Dk Moses Samwel Kulola amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Ami Kunduchi Jijini Dar es salaam alikokua amelazwa kwa Matibabu ya Moyo,akizungumza na MCHOME BLOG mtoto wa tano wa Dk.


Mchungaji Dk Daniel Moses Kulola amesema msiba upo Temeke jijini DSM na mazishi yatafanyika mwanza siku ambayo itatajwa hapo baadae baada ya kikao cha familia kuamua.
MWENYEZI MUNGU AILAZE MAHALA PEMA PEPONI MCHUNGAJI DK.MOSES SAMWEL KULOLA AMEN.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!