Searching...
Jumanne, 27 Agosti 2013

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

IMG_0407 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge  wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba, bungeni mjini Dodoma Agosti 27,2013. IMG_0409  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  bungeni mjini Dodoma Agosti 27, 2013.
IMG_0432
 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,  ambaye pia ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma AGOSTI 27,2013. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!