Searching...
Jumanne, 27 Agosti 2013

SALIM AHMED SALIM AFUNGUA BARAZA LA MABADILIKO YA KATIBA LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.

 
MGENI RASMI NA MJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MHESHIMIWA DK.SALIM AHMED SALIM AKIFUNGUA RASMI BARAZA LA KATIBA LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MHESHIMIWA BERNAD MEMBE AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BARAZA LA MABADILIKO YA KATIBA LA WIZARA HIYO KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA BARAZA HILO.
BAADHI YA WAJUMBE WA BARAZA HILO LA KATIBA WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA KILE KINACHOENDELEA UKUMBINI HAPO.
 
MGENI RASMI MHESHIMIWA DK.SALIM NA MHESHIMIWA MEMBE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAJUMBE WA BARAZA HILO LA MABADILIKO YA KATIBA LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!