Unknown 12:27 0 comments HIVI NDIVYO LADY GAGA NA MILEY CYRUS WALIVYOCHEZA NUSU UTUPU JUZI KWENYE TUZO ZA MTV-VMA 2013 Home » Unlabelled » HIVI NDIVYO LADY GAGA NA MILEY CYRUS WALIVYOCHEZA NUSU UTUPU JUZI KWENYE TUZO ZA MTV-VMA 2013 Mwanamuziki wa kimataifa asiyejali nyeti zake lady Gaga akiimba jukwaani kwenye tuzo za Music Video Award jijini New York nchini marekani juzi jumapili agst.25. Hapa Rihana akiwa katika pozi na Will Smith Mwanadada Miley Cyrus naye hakuwa nyumba katika kuudhalilisha utu wake katika sherehe hizo za tuzo za MTV-VMA 2013 zilizofanyika juzi jumapili Barclays Center August 25, 2013 jijini New York nchini Marekani. Share This To : Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Chapisha Maoni