
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MCHANA WA LEO PALE BAR YA SAMAKI SAMAKI ILIVYOKUWA IKITEKETEA KWA MOTO UNAODAIWA KUSABABISHWA NA MAFUNDI WA DAWASCO WALIPOKUWA WAKIBOMOA PEMBENI YA PUB HIYO NA KISHA KUGUSA NYAYA ZA UMEME ZILIZOSABABISHA SHOTI YA UMEME NA KUTEKETEZA BAR HIYO.
MAGARI YA ZIMA MOTO YAKIWA TAYARI YAMEWASILI ENEO LA AJALI NA KUANZA KAZI YA KUZIMA AMBAYO ILICHUKUA TAKRIBANI SAA 3 HADI KUMALIZA KUUZIMA MOTO HUO JAPO ULISHATEKETEZA PUB YOTE YA SAMAKI SAMAKI YA MBEZI BEACH DSM
GARI LA ZIMA MOTO LIKIWASILI KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA KUZIMA MOTO SAMAKI SAMAKI MBEZI BEACH.
ZIMAMOTO KAZINI
UMATI WA WANANCHI WALIOKUSANYIKA KUSHANGAA NA KUSHUHUDIA JINSI MOTO HUO ULIVYOKUA UKITEKETEZA PUB HIYO MAARUFU DSM.
MUONEKANO WA PUB LIVYOTEKETEA WAKATI ZIMA MOTO WAKIKARIBIA KUMALIZA ZOEZI LA KUZIMA MOTO HUO.
GARI LINGINE LA ZIMA MOTO LIKIWASILI,KWA HAKIKA ZIMA MOTO WALIFANYA KAZI KUBWA SANA JAPOKUWA HAWAKUFANIKIWA KUIOJOA PUB HIYO.
ASKARI WA ZIMAMOTO WAKIUNGANISHA MABOMBA YA MAJI KWENYE GARI LILILOWASILI KUONGEZA NGUVU.
HII GARAGE AMBAYO IPO JIRANI NA PUB HIYO NAYO ILITEKETEA KWA MOTO
NYAYA ZA UMEME ZIKIWA ZIMENING'INIA BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO HUKU NGUZO HIYO NAYO IKIWA MASHAKANI KUANGUKA ENDAPO TANESCO HAWATAWAHI KUIBADILISHA.
PUB YA SAMAKI SAMAKI IKIWA IMETEKETEA KWA MOTO.
SIO KWAMBA ANAJIANDAA KWENDA MWEZINI BALI KUZIMA MOTO.
ASKARI WA ZIMAMOTO ALIYEVAA KIRAIA AKIWA JUU YA GARI AKITOA MAELEKEZO.
WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KAZINI,ALIYEVAA T-SHIRT YA MISTARI NI RENATUSI MUTABUZI WA ITV.
HAPA NI KUHAKIKISHA WATAZAMAJI,WASIKILIZAJI NA WASOMAJI WA VYOMBO VYA HABARI WANAPATI TAARIFA ZA UHAKIKA.
HAPA SHUGHULI YA KUZIMA MOTO ILIKUA INAELEKEA UKINGONI
HAPA ZIMA MOTO WAKIHAKIKISHA WANAZIMA HADI KWENYE NGUZO ZA UMEME JUU KABISA
JUU NA CHINI MUONEKANO BAADA SHUGHULI ZA UZIMAJI WA MOTO ZIKIWA ZIMEKAMILIKA.
0 comments:
Chapisha Maoni