Searching...
Jumanne, 27 Agosti 2013

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA SIASA IKULU LEO.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili mpya wa Vyama vya Siasa  Jaji Mstaafu  Francis Mutungi na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwa baada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es Salaam .

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!