Searching...
Jumamosi, 31 Agosti 2013

CHELEWA CHELEWA UTAMKUTA MWANA SI WAKO-MADRID WACHOMOA DILI LA BALE

At last: Real Madrid will pay £78million up front to bring Bale to the Bernabeu
GARETH BALE
Hatimaye ule usemi usemao chelewa chelewa utamkuta mwana sio wako yamedhihirika baada ya jana ijumaa usiku klabu ya Real Madrid kuamua kuichana timu ya Tottenham kwa kusisitiza kwamba mchezaji wao sio bora sana na wala hana thamani ya paundi milioni 100 wanazozitaka
All smiles: Bale is driven around London earlier this week
Mapema wiki hii Bale akiendesha gari lake kati kati ya jiji la London akisubiri kutua Madrid kabla ya jana usiku dili kuharibika.
Uhamisho wa Bale ulitarajiwa kukamilika leo kwa mkataba wa Madrid kulipa fedha hizo kwa mkupuo mmoja.
Kwa uamuzi huo sasa Madrid sio tu kwamba watakuwa wameokoa kiasi kikubwa cha fedha zao lakini pia watakua wamemuhakikishia Ronaldo kwamba yeye ndio mchezaji bora na ghali hadi sasa katika rekodi ya soka duniani na kumfanya kuwa na amani na kuendelea kukipiga kunako Bernabeu.
Ego boost: Ronaldo's £80m transfer from Manchester United will remain as the world record
CHRISTIAN RONALDO-MCHEZAJI GHALI DUNIANI.
Real Madrid wamesema kwamba wao wapo tayari kumnunua Bale kwa paundi milioni 78 tu Milioni mbili nyuma ya Paundi milioni 80 walizomnunulia nazo Christian Ronaldo akitokea Manchester United ili kuiacha rekodi ya nguli wao mreno kuwa juu kwani Bale hana thamani ya kumzidi Ronaldo
Delay: Spurs chairman Daniel Levy wanted to confirm new arrivals before selling Bale
DANIEL LEVY-MWENYEKITI WA TOTTENHAM
Done deals: Eriksen (above), Chiriches (below left) and Lamela (below right) all signed on a frantic Friday
BAADA YA BALE KUWAAMBIA TOTTENHAM KWAMBA ANATAKA KUONDOKA TOTTENHAMA HADI JANA IJUMAA WALIWANUNUA WACHEZAJI WATATU JUU NI ERIKSEN,CHINI KUSHOTO NI CHIRICHES NA CHINI KULIA NI LAMELA.
Frantic Friday: Chiriches (left) and Lamela (right) were also unveiled by Spurs on FridayFrantic Friday: Chiriches (left) and Lamela (right) were also unveiled by Spurs on Friday

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!