Searching...
Jumamosi, 31 Agosti 2013

HATARIIIIIIIIII!!!!! BOMU,BUNDUKU NA RISASI ZAKAMATWA MKOANI KIGOMA

 
Bomu la kutupwa kwa mkono lilikamatwa kigoma katika kijiji cha bweranka baada ya polisi kufanya upekuzi kwenye nyumba ya sadock kalumanzila ambaye pia alikutwa na risasi 20
  
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa kigoma Zedekia Makunja akionyesha moja ya bunduki kumi zilizokamatwa katika msako wa wahalifu kigoma. 
Silaha zilizokamtwa katika msako huo.
NA DEOGRATIUS NSOKOLO-KIGOMA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!