Searching...
Alhamisi, 29 Agosti 2013

...BREAKING NEWSSSSSS!!!! ...MAJAMBAZI YAVAMIA HABIB BANK KARIAKOO DSM,WAPORA MAMILIONI YA FEDHA.


 
Habari ambazo zimeifikia MCHOME BLOG muda huu zinasema watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi huku wakiwa wamevalia sare za polisi wakiwa na gari aina ya Toyota Nouah wamevamia HABIB AFRICAN BANK LIMITED iliyopo kariakoo jijini Dar es salaam na kisha kuiba mamilioni ya shilingi na kutokomea kusikojulikana.
akizungumza na MCHOME BLOG kamishna wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuahidi kuita waandishi wa habari muda mfupi baadae ili kulitolea ufafanuzi tukio hilo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!