Searching...
Alhamisi, 29 Agosti 2013

BONDIA WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI WA MICHEZO FENELA MUKANDALA

pix3 - Copy - Copy

 PIX6 - Copy 
Bingwa wa duni mara mbili wa mchezo wa ngumi Bondia Francois Botha (White Buffalo) akielezea jambo kwa waandishi wa habari alipotembelea ofisini kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara kulia jana jijini Dar es Salaam.
PIX7 - Copy 
Bingwa wa duni mara mbili wa mchezo wa ngumi Bondia Francois Botha (White Buffalo) akielezea jambo huku Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga akisikiliza kwa makini jana jijini Dar es Salaam. Botha yupo nchini kufuatia kuwepo kwa pambano la ngumi la dunia litakalofanyika kesho huku likiwakutanisha mabondia Francis Cheka wa Tanzania na Phill William wa Marekani.
KWA HISANI YA FULL SHANGWE

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!