Searching...
Jumatatu, 1 Julai 2013

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AFUATANA NA MFALME MUSWATI WA SWAZILAND KATIKA KUFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA


IMG_0167Mfalme Muswati wa Swaziland (kulia) na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakitazama dawa za aina mbali mbali wakati walipotembelea banda la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!