WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE
02/07/2013.
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Kagera,]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Dodoma,
Kigoma, Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Mara, Mwanza na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro
na Mtwara] :
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:35
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:18
|
DODOMA
|
27°C
|
12:34
|
KIGOMA
|
31°C
|
12:59
|
MBEYA
|
23°C
|
12:37
|
MWANZA
|
31°C
|
12:50
|
TABORA
|
30°C
|
12:47
|
TANGA |
28°C
|
12:22
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:18
|
PEMBA
|
28°C
|
12:22
|
MOROGORO
|
29°C
|
12:25
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 20 kwa saa; kwa
Pwani ya Kaskazini na
kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusin.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumanne: 02/07/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe: 02/07/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni