Raisi wa marekani Barack Obama ametua jijini Dar es salaam kwa kishindo akitokea nchini Afrika Kusini ambapo alikua katika ziara ya siku tatu.
Obama ametua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere muda wa saa nane na dakika arobaini akifuatana na familia yake na kupokelewa na rais wa Tanzania mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na kukagua gwaride la heshima na kupigiwa mizinga 21 na baadae walielekea ikulu jijini Dar es salaam ambapo wamefanya mazungumzo ya siri ya watu wawili tu ambapo hivi punde watajitokeza kuzungumza na waandishi wa habari....endelea kufuatilia MCHOME BLOG kwa habari zaidi.
0 comments:
Chapisha Maoni