Searching...
Alhamisi, 25 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA IJUMAA JULY 26,2013 UKIWA NA TAHADHARI



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
26/07/2013.

[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na  Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
Mkoa wa Mara

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo  katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]: [Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
 [Mikoa ya Kagera,na  Mwanza]:
[Mikoa ya Tabora  na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
                                               TAHADHARI: 
UPEPO MKALI UNAOKADIRIWA KUFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA    MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA  MAENEO YA PWANI YA KUSINI. TAFADHALI CHUKUA      
                                     TAHADHARI.   
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
20°C
12:38
D'SALAAM
31°C
12:21
DODOMA
27°C
12:36
KIGOMA           
29°C
01:01
MBEYA
23°C
12:41
MWANZA
31°C
12:53
TABORA
29°C
12:50
TANGA
30°C
12:25
ZANZIBAR
29°C
12:21
PEMBA
           28°C           
12:25
MOROGORO
           30°C           
12:28
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani  ya Kaskazini na kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi kwa Pwani ya kaskazini na Makubwa kwa  
                           Pwani ya Kusini.
Matazamio kwa usiku wa Ijumaa: 26/07/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 26/07/2013
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!