Searching...
Jumanne, 23 Julai 2013

UMOJA WA MATAIFA WAKABITHI RASMI KAMBI YA WAKIMBIZI YA MTABILA KIGOMA KWA SERIKALI

Naibu waziri wa mambo ya ndani, Mh. Pereira Silima akibadilishana hati za makabidhiano na mwakilishi mkazi wa shirika la kuhudumia wakimbizi duniani UNHCR nchini Bi. Joyce Mendes-cote katika kambi ya mtabila, wilayani kasulu, kambi hiyo imekabidhiwa rasmi kwa serikali.
 
 Naibu waziri wa mambo ya ndani, Mh. Pereira akisaini hati za makabidhiano na mwakilishi mkazi wa shirika la kuhudumia wakimbizi duniani UNHCR nchini Bi. Joyce Mendes-cote katika kambi ya mtabila, wilayani kasulu, kambi hiyo imekabidhiwa rasmi kwa serikali.Baadhi ya watumishi wa mashirika ya umoja wa mataifa wakishuhudia makabidhiano 
HABARI NA PICHA NA DEOGRATIUS NSOKOLO KIGOMA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!