HIVI NDIVYO UMBO HILO LA ASKARI HAPO JUU LINAVYOSOMEKA..BOY
PAMOJA NA LUNINGA ZOTE NCHINI UINGEREZA KUONYESHA TUKIO LA KUZALIWA MWANAMFALME LAKINI BADO WATU HAWAAMINI MPAKA WASOME PIA KWENYE MAGAZETI.AMBAPO MAGAZETI YOTE YAMEANDIKA IT'S A BOY
MCHAKATO WA JINA GANI ATAITWA HUYO MWANAMFALME BADO UNAENDELEA..LIKIWEKWA WAZI TUTAKUJUZA HAPA HAPA MCHOME BLOG
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.