Jumanne, 23 Julai 2013
Huu ni msafara wa Baba Mtakatifu Francis wa Kwanza ulivyopotea njia nchini Brazili ukitokea uwanja wa ndege,taarifa zaidi kutoka nchini Brazili hazijaweka wazi sababu ya msafara huo kupotea njia ila inasemekana ni askari aliyekuwa akiongoza msafara huo kupagawa na idadi ya watu waliotapakaa kila mtaa na kufanya bara bara zote kufanana na kisha kupoteza muelekeo,hakuna madhara yoyote yaliyotokea kufuatia tukio hilo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.