Searching...
Jumanne, 23 Julai 2013

SIO KICHAA NI SHABIKI ALIYEPAGAWA NA KUVUA NGUO NA KUINGIA UWANJANI KUSHANGILIA USINDI

Fan's cheeky dash causes mayhem in Sydney state clash
WATI HOLMWOOD
...Ama kweli ushabiki ukizidi ni ukichaa...hili ni tukio la kushangaza ambalo lilitokea wakati zikiwa zimesalia dakika mbili mpira kuisha katika mechi ya mpira wa RUGBY kati ya timu ya New South Wales ambayo ilikua kwa muda huo ikiongoza kwa pointi mbili dhidi ya timu ya Queensland,ndipo shabiki huyu aliyefahamika kwa jina la Wati Holmwood mwenye umri wa miaka 33 akaamua kuvua nguo na kuingia uwanjani  utupu kabla ya askari kumuwahi na kumfunika na kisha kumtoa nje ya uwanja huku akionekana mwenye sura na nyuso ya tabasamu kama vile alichokifanya kilikuwa ni kitendo cha kiungwana sanaaaa.
 Angalia Fan’s cheeky dash causes mayhem in Sydney state clash – uone Video yake.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!