Searching...
Ijumaa, 26 Julai 2013

RAIS WA ZANZIBAR AFUTURISHA KASKAZINI UNGUJA JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Viongozi na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakijumuika katika chakula cha futari aliyoiandaa katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni jana
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(katikati)akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari aliyowaalika viwanja vya Ikulu ndogo Mkokotoni jana.(pili kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa rais Mama Asha Balozi,na Mkuu wa wilaya ya Kaskazini A Riziki Juma Simai,(kulia).
 Baadhi ya akina mama wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakiwa katika chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Mkokotoni.
Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu waMkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika chakula cha futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni jana.
{Pichana Ramadhan Othman,Ikulku.]

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!