Searching...
Ijumaa, 26 Julai 2013

SIOGOPI UJIO WA ROONEY-DEMBA BA

Ba vows to fight for Blues futureDEMBA BA.
Mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba ni miongoni mwa washambuliaji wanne ambao wanapambana kumshawishi kocha wao Mreno Jose Mourinho ili kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha matajiri hao wa London msimu huu.
Demba Ba amesisitiza kwamba hana wasi wasi wowote na mipango ya klabu kutaka kumsajili mshambuliaji nguli  Wayne Rooney kutoka Manchester United ala yake amesema ataendelea kuwepo na kupigania namba Stamford Bridge bila kujali ni mshambuliaji gani atatua klabuni hapo msimu huu.Wayne Rooney in a Chelsea Shirt
WAYNE ROONEY.
Demba Ba ambaye amehamia Chelsea januari akitokea Newcastle na kuimarisha safu ya ushambuliaji ya klabu hiyo na kuifungia Chelsea magoli sita
Lakini pamoja na kuongezeka kwa ushindani wa nafasi ya ushambuliaji katika klabu hoyo mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Senegal amesema yupo tayari kushindana na wenzake Fernando Torres, Lukaku na mwingine yoyote atakayesajiliwa klabuni hapo.
‘Ndio,nitaendelea kuwepo’ alisema Ba.
‘Nafikiri ili uwe mchezaji bora unahitaji ushindani,tunawakaribisha wachezaji bora klabuni kwetu.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!