WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKISALIMIANA NA KAMISHINA WA UTAWALA NA FEDHA  IDARA YA UHAMIAJI PINIEL  MGONJA KABLA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI  OFISI YA UHAMIAJI MKOA WA RUVUMA,KULIA AFIASA UHAMIAJI WA MKOA HUO KOKU LWEBANDIZA
 AKISALIMIANA NA AFISA UHAMIAJI WA MKOA WA RUVUMA KOKU LWEBANDIZA  MJINI SONGEA AMBAPO WAZIRI MKUU PINDA ALIKAGUA NA JUJIONEA UJENZI WA JENGO LA IDARA YA  UHAMIAJI MKOOANI HUMO
 WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIONGOZWA NA MAAFISA WENGINE WA
SERIKALI MKOANI RUVUMA KUKAGUA UJENZI WA JENGO LA UHAMIAJI MJINI SONGEA
 AKISALIMIANA NA AFISA HABARI WA IDARA YA UHAMIAJI
 JENGO LA UHAMIAJI AMBALO UJENZI WAKE UNAENDELEA KAMA LINAVYOONEKANA PICHANI
 KAMNISHINA WA UTAWALA NA FEDHA IDARA YA UHAMIAJI,PINIEL MGONJA AKITOA TAARIFA YA UJENZI WA JENGO ILO KWA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA
 WAZIRI MKUU AKIWEKA JIWE LA MSINGI,WA KWANZA KULIA NI MAMA TUNU PINDA
 AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA MAAFISA WA IDARA HIYO,KULIA MKUU WA MKOA WA RUVUMA SAID MWAMBUNGU