Searching...
Jumatatu, 22 Julai 2013

MOURINYO AENDELEZA BIFU NA MAN U,AMWAMBIA RONALDO AKATAE OFA YOYOTE YA MAN U.

Ronaldo will reject United return, suspects Mourinho
CHRISTIANO RONALDO
Kocha wa zamani wa Real Madrid ambaye sasa ni kocha wa Chelsea Mreno Jose Mourinho amemtaka mreno mwenzake Christiano Ronaldo kukataa ofa yoyote ya kurejea katika klabu yake ya zamani ya Manchester United.
Boss huyo wa Chelsea aamini timu yake aliyoiacha ya Madrid ni tajiri na hivyo inao uwezo wa kukataa ofa ya namna yoyote kwa mchezaji bora kama Ronaldo.
‘Najua Ronaldo anaipenda Man United na ninajua anaipenda ligi kuu ya England (Premier League), lakini nafikiri atadumu na Madrid,’ alisema Mourinho.
Mourinho 'will quit Chelsea for Inter in three years'JOSE MOURINHO-KOCHA CHELSEA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!