Searching...
Jumanne, 23 Julai 2013

MSAFARA WA MAZIKO YA ASKARI WA JWTZ WAPATA AJALI MBAYA,15 WAJERUHIWA VIBAYA

Katika hali ya kusikitisha wakati askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Zanzibar wakiwa katika safari ya kuwazika askari wawili wa JWTZ waliouwawa Dafur nchini Sudani wamepata ajali mbaya baada ya gari la jeshi land Rover kupinduka wakiwa njiani kuelekea mwanakwerekwe mahali ambapo askari hao wamezikwa...angalia picha

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!