Searching...
Jumanne, 23 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMATANO JULY 23,2013 UKIWA NA TAHADHARI KUBWA



WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772. 

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

23/07/2013.


[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na  Pwani]
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Kagera, Mara na  Mwanza
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

    

TAHADHARI: UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI  MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA  

                          MAENEO YOTE YA  PWANI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI. 

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               22°C               
12:38
D'SALAAM
            28°C            
12:21
DODOMA
26°C
12:36
KIGOMA           
29°C
01:01
MBEYA
20°C
12:41
MWANZA
31°C
12:53
TABORA
30°C
12:50
TANGA
29°C
12:25
ZANZIBAR
            29°C           
12:21
PEMBA
            28°C           
12:25
MOROGORO
           30°C           
12:28

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote 
     Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano: 23/07/2013: Mabadiliko kidogo. 

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 23/07/2013 

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!