Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu maalumu cha maombolezo katika hafla ya kuwaaga askari saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ waliouwawa huko Dafur nchini Sudan,pembeni ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Generali Davis Mwamunyange.Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha maombolezoMakamu wa Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr.Gharib Bilal akisaini kitabu maalumu cha maombolezo katika
hafla ya kuwaaga askari saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ
waliouwawa huko Dafur nchini Sudan July 13,2013.Majeneza saba yaliyobeba miili ya askari waliouwawa Dafur
Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba miili ya wapiganaji hao waliouwawa huko Dafur nchini Sudani july 13,2013.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr.Gharib Bilali akitoa heshima zake za mwisho.
Mwenyekiti wa makampunini ya IPP Dr.Reginald Mengi akiongozana na baadhi ya viongozi wakipita kutoa heshima zao za mwisho mbele ya majeneza saba yaliyobeba miili ya askari wa JWTZ waliouwawa huko Dafur nchini Sudani.Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wa serikali wakiwa katika nyuso za huzuni wakati wa zoezi la kuaga miili ya askari saba wa JWTZ waliouwawa huko Dafur SudaniRaisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akuzungumza wakati wa tukio hilo la kuaga leo.mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akizungumza nenoBaadhi ya wafiwa wakiwa katika hali ya huzuni huku wengine wakishindwa kujizuia na kulia kwa uchungu.Baadhi ya askari wa JWTZ wakiwa katika hali ya huzuni huku wengine wakiwa kama vile hawaamini kinachoendelea.
0 comments:
Chapisha Maoni