Searching...
Jumamosi, 20 Julai 2013

MAMA MZAZI WA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASHIRIKI MBIO ZA MWENGE



 Kiongozi wa Mbio za mwenge kitaifa Juma Ali sumai akisalimiana na Mama mzazi wa waziri Mkuu Pinda muda fupi baada ya kuwasili kijiji hapo ukiwa katika wa mbio za mwenge  na kufungua miradi minne ya maendeleo.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Juma Ali Sumai akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa mwanamke wa kijiji cha Tupindo Kata ya mbede wilaya ya Mlele Jovina Katumbo muda mfupi baada ya kuzindua mrandi wa kisima kirefu cha maji uliogharimu kiasi cha sh.48.4 ml.

Mama mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda Albetina Kasanga akiwa ameshika mwenge wa Uhuru ulipotembelea kijijini kwake kibaoni hapo jana  wakati wa mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2013
Picha na waltre mguluchuma
BLOGS ZA  MIKOA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!