Kocha wa Spurs mreno Andre Villas-Boas amewaonya Manchester United kusahau ndoto za kumsajili mshambuliaji wake Gareth Bale msimu huu wa usajili.
GARETH BALE-MCHEZAJI WA TOTTENHAM.
Bale amehusishwa na kuhama White Hart Lane kwenda Real Madrid katika kipindi hiki cha usajili na sasa taarifa zimeanza kuenea kwamba Man U wapo tayari kumng'oa Bale hapo Tottenham kwa gharama yoyote.
DAVID MOYES-KOCHA WA MAN U.
Baada ya tetesi hizo za Man U kumtaka kwa gharama yoyote Bale ndipo AVB akawaonya Man U kwamba nyota wake huyo BALE hauzwi popote.
0 comments:
Chapisha Maoni