WakatI
maelfu ha waumini wa dini la Kiislam duniani wakiwa ndani ya mfungo
mtukufu huku wengi wao wakitumia kipindi hiki kupunguza maovu yao kwa
mola kwa kufanya ibada,Hali imekuwa tofauti aliyekuwa mshiriki wa
shindano la kumtafuta Miss Utalii Taifa Faithiya Madoud amepiga picha
chafu za kujidhalilisha pamoja na kumdhalilisha mwanamke wa kitanzania.
Picha hizo chafu kwa mara ya kwanza zilinaswa na Xdeejayz toka kwa chanzo chetu cha habari ambapo inadaiwa msichana huyo ambae ameanza kuonja radha ya ustaa kufuatia kufanya vyema kwenye filamu za Mrembo wa Facebook na Nimpende Nani ambapo filamu zote hizo amecheza kama staa.

![]() |
Habari
za uhakika toka kwa chanzo chetu klichofikisha cd nzima ya picha hizo
mezani kwa mtandao huu hatari kwa kunasa matukio magumu kilisema kuwa
msichana huyo ambae mapema mwaka huu alishiriki shindano hilo la Miss
Utalii Taifa yaliyofanyika Mkoani Tanga. Lakini kwa bahati mbaya
hakufanikiwa kushika nafasi za chini lakini alichaguliwa kuwa balozi wa
Hotel zote za Kitalii nchini Tanzania pamoja na Kule Zanzibar
Hata hivyo habari zaidi ziliendelea kusema kuwa bint huyo kabla ya kuingia kwenye umiss alikuwa ni msanii maigizo na ametamba sana kwenye filamu hizo kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa nchini.

Aicha chanzo hicho kilisema picha hizo ambazo nyingine ni mbaya sana ambapo blog hii imeshindwa kuzitundika zote kwa kuzingatia maadili kwa wasomaji wetu lakini ilidaiwa kuwa picha hizo alikuwa anapigwa na mwanamke mwenzake na ilionekana walikuwa Hotel na haikufahamika walifika kufata nini kwenye nyumba hiyo ya wageni.
Baada ya kupata picha hizo xdeejayz ilivuta waya moja kwa moja hadi kwa staa huyo mtarajiwa na kwa bahati nzuri simu yake ilipokelewa na yeye mwenyewe na haya ni mahojiano kati ya mwandishi wa Xdeejayz na mrembo huyo " habari yako dada bila shaka naongea na Fathiya? " Ndiyo habari yako nani mwenzangu?"
"
Hapa ni ofisi za DTV Fathiya" Ndiyo nikusaidieni nini DTV?"
" ahsante sana Fathiya ofisi yetu imenasa picha zako za utupu hivyo tulitaka ufike ofisini kwetu ili kuzitambua kama inawezekana au thubitisha kama uliwahi kupiga picha na namna hiyo"
"Fathiya umesema wewe nani?
"Fathiya sasa kwani nani kawaletea hizo picha? mimi hizo picha nilipiga kwa matumizi yangu binafsi sasa nyie inawahusu nini lakini mbona waandishi wa Tanzania mnapenda kufatilia maisha ya watu? Sitaki kabisa mtoe picha zangu kwenye Tv yenu au gazeti la sivyo nitakufa na mtu sipendi kabisa ****** zenu" Alimalizia na tusi Fathiya kisha akaata simu.
Hata hivyo juhusi za kumtafuta Rais wa Miss Utalii Tanzania Gedion Chipungahelo hazikufanikiwa baadaya namba yake ya simu kushindwa kupokelewa.
XDEEJAYZ ina laani vikari tabia za mabint wenye tabia chafu kama hizi za kujipiga picha za kujidhalilisha bila sababu za msingi.
CHANZO NA XDEEJAYZ BLOG

0 comments:
Chapisha Maoni