Huyo Mtoto Hapo juu anaitwa LISA ni mtoto wa Pro Jay na MAMA yake ni huyo aliyejifunga kanga |
Prof jay Akiwa na Dada yake
Baba
Mzazi wa Prof JayMzee Haule alianza kwa kuweka shada la maua lenye alama
ya Msalababa, Kisha wakafata watoto wa marehemu Ambapo alianza dada
mkubwa, akafata Prof Jay na kumalizia simple X
Mtoto mkubwa wa maremu akiweka shada la ua lenye alama M Juu ya kaburi la mama yake, katika makaburi ya Kinondoni
Mtoto wa pili wa Marehemu Joseph Haule (Prof Jay) Akiweka shada la Maua juu ya kaburi la mama yake lenye alama O
Prof Jay akisali na kupeleka Dua mbele za Mungu Mara baada ya kuweka Shada la maua katika kaburi la mama yake
Mtoto wa Tatu wa Marehemu Alex Haule (Simple X) akiweka shada la maua katika kaburi la mama yake lenye alama M
Baada
ya Dada mkubwa kuweka Shada lenye Alama M nakisha Prof kuweka Alama O na
kumaliziwa na Simple X kuweka alama M likapatikana neno MOM juu ya
kaburi la mama yao Rosemary Majanjala.
Jaydee alipata nafasi ya kuweka shada la maua kama rafiki mkubwa wa Prof Jay
Kaka na wadogo wa Prof Jay walio changia Baba wakiweka mashada ya mau juu ya Kaburi
0 comments:
Chapisha Maoni