Searching...
Jumatatu, 15 Julai 2013

HIVI NDIVYO WAZIRI MKUU PINDA ALIVYOMALIZA ZIARA YAKE MKOANI NJOMBE

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza katika majumuisho ya ziara yake  ziara ya mkoa wa Njombe, Julai  14, 2013.  Kulia  ni  Mkuu wa mkoa wa Njombe, Kapteni Msangi. Na wa wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Deo sanga.
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda alipopokea taarifa ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuwasili kwenye Ikulu Ndogo ya Songea kwa ziara ya siku nane mkoani humoJulai 14,2013.Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu. 
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda alipopokea taarifa ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuwasili kwenye Ikulu Ndogo ya Songea kwa ziara ya siku nane mkoani humoJulai 14,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba baada ya kumaliza ziara ya kikazi mkoani Njombe Julai 14, 2013. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!