Rais Barack Obama wa Marekani ameondoka nchini mchana huu,baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili iliyoanza jana.Rais Obama na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete,leo walitembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion iliopo Ubungo jijini Dar es Salaam na kuzindua rasmi mradi huo. 

  Hapa sio kwamba rais Obama na rais Kikwete wanacheza soka,la hashaaaa hapa wanazindua mradi wa umeme wa POWER AFRICA ubungo jijini Dsm.