Searching...
Jumanne, 2 Julai 2013

ANGALIA JINSI BUSH NA OBAMA WALIVYOKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM UTADHANI WAPO MAREKANI

 Rais Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.



0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!