Manchester United wametumia muda wao mwingi kumnasa Fabregas kwa kitita cha paundi milioni 26 lakini Barcelona hawapo tayari kumuuza muhispania huyo mchezaji na nahodha wa zamani wa Arsenal
‘Ni vizuri kupokea ofa kwa mchezaji wetu Cesc Fabregas – kwasababu hii inamaanisha anacheza vizuri",alisema Vilanova.
"Sitaki kwenda Manchester United,nafurahia maisha hapa,na ninahitaji kushinda vikombe vingi nikiwa hapa alisema Cesc Fabregas
0 comments:
Chapisha Maoni