Mgeni rasmi, Rais Jakaya Kikwete akizindua huduma mpya ya Benki ya Posta iitwayo TPB POPOTE mapema leo mchana kwenye hotel ya Serena jijini Dar, hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo ya kibenki na wengineo, lengo kuu ya uzinduzi wa huduma hiyo ikiwa ni kuweka na kutoa fedha kupitia Mawakala wa Benki ya Posta nchini Tanzania. Kushoto ni Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa.
Mgeni rasmi, Rais Jakaya Kikwete akizindua huduma mpya ya Benki ya Posta iitwayo TPB POPOTE mapema leo mchana kwenye hotel ya Serena jijini Dar, hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo ya kibenki na wengineo, lengo kuu ya uzinduzi wa huduma hiyo ikiwa ni kuweka na kutoa fedha kupitia Mawakala wa Benki ya Posta nchini Tanzania. Kushoto ni Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Posta, Profesa Lettice Rutashobya na kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo Bw.Moshingi wakishuhudia tukio hilo adhimu kabisa.


Rais
Jakaya Kikwete akijaza fomu yake ya huduma hiyo mpya ya TPB POPOTE
iliyozinduliwa na Benki ya Posta mapema leo mchana kwenye hotel ya
Serena jijini Dar ,hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo
ya kibenki na wengineo, lengo kuu ya uzinduzi wa huduma hiyo ikiwa ni
kuweka na kutoa fedha kupitia Mawakala wa Benki ya Posta nchini
Tanzania.Pichani kulia ni Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa, Mwenyekiti
wa Bodi ya Benki ya Posta,Profesa Lettice Rutashobya na kushto ni Afisa
Mtendaji Mkuu wa benki hiyo Bw.Moshingi wakishuhudia tukio hilo adhimu
kabisa.


Rais
Kikwete akipewa maelezo mafupi namna ya kuitumia huduma hiyo ya TPB
POPOTE kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Posta.


Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa kadi yake mpya ya huduma mpya TPB
POPOTE na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Bw .Moshingi, mara
baada ya huduma hiyo kuzinduliwa rasmi mapema leo.


Mgeni rasmi, Rais Kikwete akikabidhiwa zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Posta,Profesa Lettice Rutashobya.


Rais Jakaya Kikwete akiondoka mara baada ya kuzindua huduma mpya ya TPB POPOTE iliyozinduliwa na Benki ya Posta mapema leo mchana kwenye hotel ya Serena jijini Dar, hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo ya kibenki na wengineo, lengo kuu ya uzinduzi wa huduma hiyo ikiwa ni kuweka na kutoa fedha kupitia Mawakala wa Benki ya Posta nchini Tanzania.




0 comments:
Chapisha Maoni