Gari la umoja wa mataifa aina ya MUNUSCO likiwa limepinduka miguu juu kichwa chini karibu na uwanja wa ndege wa Goma nchini DRC leo.
Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wakiwa wanalinda gari lao lililopinduka karibu na eneo la uwanja wa ndege wa Goma nchini DRC
OLIVIER AMULI
Msemaji
wa jeshi Kivu Kaskazini Olivier Amuli asema kuwa siyo jeshi la Congo
lilo zalilisha maiti ya waasi wa M23 bali askari aliye tenda vitendo
hivyo amefungwa na atafikishwa mahakamani hivi karibuni.
Hasara ya vita mashariki mwa Congo Drc eneo la kanyaruchinya
AUSTERE MALIVIKA
Hapa mtangazaji na ripota wa ITV& RADIO ONE akiwa mstari wa mbele eneo la Kanyaruchinya kaskazini mwa Mji wa Goma.
Raia walofunga barabara katika Mji wa Goma huko kivu lakini polisi walishututisha waonde wajiwe hayo karibu na uwanza wa ndege.
HapaMalivika katika kambi ambayo imewekwa kwa ajili ya raia wa Congo wanao kimbia hali mbaya ya kiusalama pa kivu kaskazini nchini ya milima ya Rwenzori Nobili na Kamango.
HapaMalivika katika kambi ambayo imewekwa kwa ajili ya raia wa Congo wanao kimbia hali mbaya ya kiusalama pa kivu kaskazini nchini ya milima ya Rwenzori Nobili na Kamango.
Maafa kanyaruchinya Drc
0 comments:
Chapisha Maoni