Kocha Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts (kushoto) pamoja na wenzake wakimpa pole Nizar Khalfan (kulia mwenye kofia).
Kocha Mkuu wa Yanga.
Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Yanga Ernie Brandts leo amekiongoza kikosi chake kufika nyumbani kwa kiungo wake Nizar Khalfan ambaye alifiwa na baba yake mzazi juzi jioni.
Nizar alifiwa na mzazi wake huyo aliyejulikana kwa jina la Khalfan Khalfan Jumamosi iliyopita baada ya kuugua kwa muda mfupi na kulazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimmbili ambako umauti ulimkuta.

Mara baada ya kutua nyumbani kwa Nizar kikosi hicho kikiwa na nyota
mbalimbali walitoa mkono wa pole kwa Nizar pamoja na mdogo wake Razak
Khalfan ambaye ni kiungo wa Coastal Union ya Tanga.
Picha na habari kwa hisani ya global publisher
0 comments:
Chapisha Maoni