Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amekanusha kwamba Arsenal wanao mpango wa kukamilisha usajili wa kiungo wa
Atletico Bernard, baada ya ushindi wao wa 3-1 dhidi ya timu ya Nagoya
Grampus katika mechi yao ya kirafiki.
kiungo huyo aliripotiwa kukamilisha vipimo ili atue Arsena lakini Wenger amesisitiza kwamba taarifa hizo sio za kweli ni uzushi mtupu.Kocha mkuu wa Arsenal Arsene Wenger akisalimiana na kocha mkuu wa Nagoya Grampus Dragan Stojkovic kabla ya mechi yao ya kirafiki kuanza ambapo Arsenal walishinda 3-2
0 comments:
Chapisha Maoni