Searching...
Jumanne, 2 Julai 2013

DIAMOND PLATNUM AITEKA TABORA,WADAU WAPAGAWA NA SHOW



Msanii maarufu nchini Diamond platnum hapa akiwa katika Show yake iliyofanyika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.


Mapenzi sasa basi yana-run sana

Diamond wakati akiamua kucheza na kuonesha namna anavyoweza kujiachia katika Jukwaa la ukumbi wa Frankman Hotel. 


Hii ilikuwa lazima kwa wapenzi wa muziki wa BongoFleva kuchukua picha za msanii nguli Diamond kwa kutumia camera za simu. 






Kazi na dawa


piga keleleee...!


Wadau mbalimbali katika show


wadau hao waliotokelezea kisafi zaidi

Haikuwa vibaya kwa wadau hawa kushindwa kuzuia hisia zao kama ilivyoonekana kwa Mwanadada huyu ambaye alilazimika kujiachia pasipo kutarajia ndani ya Show hiyo ya heshima.


Wadau waki-show Love


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!