Searching...
Jumatano, 3 Julai 2013

BIASHARA YA VICHWA,UTUMBO NA MIGUU YA KUKU NDIO MKOMBOZI WA WANYONGE DAR ES SALAAM

 Huyu ni mfanyibiashara wa vichwa,miguu na utumbo wa kuku katika soko la kawe jijini Dar es salaam ambaye hakutaka jina lake liwekwe wazi alipokuwa akiendelea kuwauzia wateja wake kwa speed ya ajabu kutokana na wateja kuwa wengi
 Hapa mteja akiwa anasubiri kupimiwa kitoweo cha miguu,vichwa na utumbo wa kuku katika soko la kawe jijini Dar es salaam.
hapa muuzaji akiendelea kuwaandalia wateja wake kitoweo

 Hapa kitoweo kishakuwa tayari na mnunuzi kashanunua mfuko wake wa shilingi hamsini tayari kuwekewa kitoweo chake na kwenda nacho nyumbani kula na familia yake...haya ndiyo maisha yetu kaka...mnunuzi aliiambia MCHOME BLOG
 
 Hapa muuzaji akikamua utumbo wa kuku tayari kumuuzia mteja wake

 Huyu ni mteja mwingine akisubiri huduma


 Hapa kitoweo kikiwa saaaaaaafi kwaajili ya kwenda kupikwa na kuliwa
 
 Hapa saaaaaaaaafiiii,mzee keshachukua kitoweo chake cha vichwa,miguu na utumbo wakuku kwenda kula na familia yake

 Wateja ni bandika bandua

Gharama ya kuku mmoja katika soko la kawe jijini DSM ni kati ya shilingi alfu kumi na mbili na alfu kumi na nane

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!