WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
                        TAREHE 04/07/2013.

[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                                      20°C               
12:35
D'SALAAM
             31°C            
12:18
DODOMA
25°C
12:34
KIGOMA           
30°C
12:59
MBEYA
22°C
12:37
MWANZA
29°C
12:50
TABORA
30°C
12:47
TANGA
28°C
12:22
ZANZIBAR
           29°C           
12:18
PEMBA
           28°C           
12:22
MOROGORO
            28°C           
12:25

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa
                              Pwani yote

  Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.

Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi: 04/07/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 04/07/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.