BENSON CHIBELELA.
Mwenye picha hiyo hapo juu, anaitwa Benson Chibelela anatafutwa na mwajiri wake ambaye ni Aldo Sanga kwa tuhuma za wizi alioufanya katika kituo chake cha kazi wilayani Makete Mkoani Njombe, mtuhumiwa ni mkazi wa mkoa wa Iringa
Taarifa za tuhuma hizo zipo kituo cha polisi Makete kwa RB namba MKT/RB/347/2013

Kwa yeyote mwenye taarifa zake anaombwa kutoa kupitia 0765255560 au kituo cha polisi Makete ama kituo chochote cha polisi kilichopo karibu na wewe
Zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwake