Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Zanzibar Abdullrahman Mwinyijumbe,(kulia) na MKurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Juma Amour,alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani hoteli alipoalikwa Futari na Uongozi wa Benki jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziAlhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Abdalla Mwinyi Khamis,(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya watu wa Zanzibar Abdullrahman Mwinyijumbe,na MKurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Juma Amour,(kushoto)wakiwa katika Futari iliyotayarishwa na Benki ya Watu wa Zanzibar katika Ukumbi wa Bwawani Hoteli Mjini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziAlhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Zanzibar Abdullrahman Mwinyijumbe,wakichukua chakula cha Futari iliyotayarishwa na Benki yaWatu wa Zanzibar katika Ukumbi wa Bwawani Hoteli Mjini Unguja jana.
Wateja wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Benki hiyo jana katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hoteli Mjini Unguja jana,ambapo Benki hiyo imetimiza miaka 47 tokea kuanzishwa.
Wateja wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) na Wananchimbali mbali wa walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Benki hiyo jana katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hoteli Mjini Unguja jana,ambapo Benki hiyo inasherehekea kutimiza miaka 47 tokea kuanzishwa
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Chapisha Maoni