Searching...
Jumatano, 24 Julai 2013

TAHADHARIIIIIII......UTABIRI WA HALI YA HEWA ALHAMISI JULY 25,2013.



    WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
25/07/2013.

[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na  Pwani]
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]: [Mikoa ya Shinyanga, Dodoma na Singida]:
 [Mikoa ya Kagera, Mara na  Mwanza]:
[Mikoa ya Tabora, Morogoro  na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
TAHADHARI: UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA  
                          MAENEO YOTE YA  PWANI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
12:38
D'SALAAM
29°C
12:21
DODOMA
26°C
12:36
KIGOMA           
30°C
01:01
MBEYA
21°C
12:41
MWANZA
29°C
12:53
TABORA
29°C
12:50
TANGA
29°C
12:25
ZANZIBAR
29°C
12:21
PEMBA
           28°C           
12:25
MOROGORO
           28°C           
12:28
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.
Matazamio kwa usiku wa Alhamis: 25/07/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 25/07/2013
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!